Kutoka Millardayo.com :Picha kutoka kwenye utengenezaji wa video ya single mpya ya Madee Afrika Kusini
By Gadiola Emanuel - 10:21:00 PM
.
Ayo TV ilipata nafasi ya kuzungumza na Madee pamoja na Mh.Temba & Chege kuhusu kazi zao walizozifanya na Dj Maphorisa Afrika Kusini so kaa pia karibu na AyoTV kwenye twitter kwa kubonyeza HAPA
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Madee akifanya mahojiano na Ayo TV baada ya kumaliza kufanya video shoot ya wimbo wake mpya.
.
Chege pia alipata nafasi ya kufanya mahojiano na Millardayo.com & Ayo TV.
0 comments