![]() | |
Nakushukuru sana Mungu kwa Kunifikisha siku ya Leo. Nakushukuru Mama yangu mzazi kwa kunizaa , kunilea na kunitunza (japo Umepumzika ila bado nakumbuka Maonyo yako siku zote za maisha yangu ). Nakushukuru Mke wangu kipenzi Upendo Gadiel na Mwanangu kipenzi Glory Gadiel kwa Kuwa nami katika changamoto zote za Maisha yangu, ki ukweli nawapenda Sana. Nawashukuru Ndugu, Jamaa na Marafiki kwa kuwa nami bega kwa bega katika hali zote, salute to you guys.... Mwisho Nawatakia Krismasi Njema na Mwaka mpya wa 2015. Ni mimi Gadiola Emanuel Mkurugenzi wa Wazalendo 25 Blog , www.arushapublicity.com na www.northernshotstz.com . Love you All...!!! |
![]() |
Gadiola Emanuel the Director of Northern Shots |
![]() | |||||
Gadiola Emanuel The Director of Arusha Publicity...![]()
Maktaba Yetu :Mablogger, wakiwa makini kunasa kila kinachozungumzwa.
![]()
Maktaba Yetu: Jeff Msangi, akichangia mada. Kulia ni Mwenyekiti wa Arusha Bloggers Network Bw. Gadiola Emanuel na kushoto ni Shamim Mwasha wa 8020 FASHIONS Blog.
Maktaba Yetu
Mkoa wa Dar es Salaam unaonekana kuwa na wadau wengi zaidi. Mikoa mingine wapo pia, ikiwamo Arusha lakini hawafahamiki sana kitaifa kama ilivyo maeneo mengine. Kwa kutambulika na mamlaka ya mawasiliano nchini TCRA, teknolojia hii inapaswa kuenziwa na kusimamiwa vyema ili jamii iweze kunufaika nayo vizuri, na wahusika nao wakinufaika kwa namna moja au nyingine. Teknolojia hii katika uwanja wa mawasiliano inahusisha pia mitandao mingine ya kijamii kama Facebook, Tweeter n.k bila kusahahu wavuti za makampuni ama watu binafsi. Kutoka kushoto, majina yao na anuani za blog kwenye mabano ni Woinde Shizza kutoka LIBENEKE LA KASKAZINI (http://woindeshizza.blogspot.com; Thomas wa JITAMBUE KWANZA BLOG (http://jitambuekwanza.blogspot.com/); Gadiola Emmanuel wa WAZALENDO25 (http://wazalendo25.blogspot.com/); (Victor Machota wa ASILI YETU TANZANIA (http://victormachota.blogspot.com) na Bertha Mollel wa BERTHA BLOG (http://berthamollel.blogspot.com/). Bloga mwingine ambaye haonekani pichanni ni Seria Tumainiel wa NOISE OF SILENCE (http://arusha255.blogspot.com) |
0 comments