Taswira Muhimu :Rais Jakaya Kikwete Akutana na Diamond Platnumz na Kumpongeza Juu ya Ushindi Wake wa Tuzo Tano za Muziki za Kimataifa Mwaka Huu
By Gadiola Emanuel - 2:17:00 PM
Rais Kikwete akiwa na msanii Naseeb Abdul “Diamond” baada ya
kumkaribisha na kumpongeza kwa kushinda tuzo tano za muziki za kimataifa
mwaka huu, Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumanne Desemba 23, 2014.
Kulia ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Utamaduni Katika Wizara ya Habari,
Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Hermas Mwansoko, na kushoto ni
katibu wa Bodi ya filamu Tanzania Bi. Joyce Fissoo.
Tuzo tano za muziki za kimataifa alizoshinda Naseeb Abdul “Diamond” mwaka huu 2014.
Rais Kikwete akipata maelezo toka kwa msanii Naseeb Abdul “Diamond”
wakati akimuonesha moja ya tuzo kati ya tuzo tano za muziki za kimataifa
alizoshinda mwaka huu, Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumanne Desemba
23, 2014. kulia ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Utamaduni Katika Wizara ya
Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa Hermas Mwansoko.
Rais Kikwete akimkaribisha msanii Naseeb Abdul “Diamond” na kumpongeza
kwa kushinda tuzo tano za muziki za kimataifa mwaka huu, Ikulu jijini
Dar es salaam jana Jumanne Desemba 23, 2014.
Rais Kikwete akipokea CD mpya ya msanii Naseeb Abdul “Diamond” baada ya
kuoneshwa tuzo tano za muziki za kimataifa alizoshinda mwaka huu, Ikulu
jijini Dar es salaam jana Jumanne Desemba 23, 2014.
Rais Kikwete akipata maelezo toka kwa msanii Naseeb Abdul “Diamond” juu
ya ushindi wake wa tuzo tano za muziki za kimataifa mwaka huu, Ikulu
jijini Dar es salaam jana Jumanne Desemba 23, 2014.
Rais Kikwete akiongea na msanii
Naseeb Abdul “Diamond” alipomkaribisha Ikulu kumpongeza kwa kushinda
tuzo tano za muziki za kimataifa mwaka huu, Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumanne Desemba 23, 2014.
Diamond Platnumz akisema na mashabiki wake waliofurika Dar Live usiku wa kuamkia leo.
Diamond akiwachombeza mashabiki.
Nyomi ya kufa mtu ndani ya Dar Live.
Diamond akiwa kwenye jukwaa la kupanda na kushuka.
Mfalme Mzee Yusuf on da stage.
Mfalme akiwapa 5 mashabiki wake waliofurika Dar Live.
Mzee Yusuf akiwadatisha mashabiki kwa ngoma zake kali.
Nyomi ikiwa imedata na shoo kali kutoka kwa Mzee Yusuf.
Mzee Yusuf akicharaza gitaa.
Diamond akicheza sebene ndani ya Dar Live.
Platnumz akizidi kufanya yake stejini.
Diamond akimtambulisha kwa mashabiki mshindi wa zaidi ya milioni 500 za Big Brother Hotshots, Idris Sultan.
Diamond na Idris wakifanya yao stejini.
Idris
Sultan akimtambulisha kwa mashabiki wa Dar Live mshikaji wake aliyekuwa
naye kwenye mjengo wa BBA, Samantha wa Afrika Kusini.
Diamond akichana mistari ya wimbo wa Muziki Gani na mshikaji aliyepanda stejini kumwakilisha Nay wa Mitego.
Baada ya mshikaji huyo kufanya makamuzi ya hatari, Diamond aliamua kumpatia shilingi 50,000.
Diamond akizidi kuwapa raha mashabiki wake wa Dar Live.
Nyomi ya kutisha ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live.
Diamond akifanya makamuzi na dansa wake.
Dansa wa Diamond akionyesha umahiri wake stejini.
...Sebene time.
Diamond akilitawala jukwaa kwa sarakasi.
NIMEMALIZA:
Diamond baada ya kuwakonga nyoyo mashabiki wake waliofurika Dar Live na
wao kuridhika aliamua kupozi nao kwa picha hii.
Ijumaa Sexiest Bachelor anayemaliza muda wake, Yusuf Mlela akiwasalimia mashabiki.
Diamond
akisalimia na msanii wa filamu, Yusuf Mlela baada ya kutangazwa kuwa
mshindi wa shindano la Ijumaa Sexiest Bachelor. Taji hilo alikuwa nalo
Mlela.
Diamond akipokea tuzo ya Ijumaa Sexiest Bachelor kutoka kwa Mkurugenzi wa Kijumosi Traders Ltd, Mohammed Mustapha.
Mhariri
wa Gazeti la Ijumaa waandaaji wa shindano hilo, Amran Kaima akimkabidhi
Ijumaa Sexiest Bachelor 2014/15, Diamond Platnumz cheti.
Ijumaa Sexiest Bachelor 2014/15, Diamond Platnumz akipozi na tuzo yake pamoja na cheti.
Mzee Yusuf akikandamiza kinanda wakati wa shoo yake Dar Live.
Mzee Yusuf na vijana wake wakifanya yao stejini.
Mzee Yusuf akionyesha ujuzi wa kucharaza gitaa chini kwa chini.
Mashabiki baada ya kupagawa na shoo ya Mzee Yusuf.
MFALME
wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' usiku wa Krismasi
amewadhihirishia mashabiki wake kuwa ni mfalme baada ya kufanya makamuzi
ya hatari katika Ukumbi wa Dar Live, Mbagala-Zakhem, jijini Dar kwenye
Tamasha la Wafalmelililodhaminiwa na VODACOM pamoja na COCACOLA.
Staa huyo aligonga ngoma zake zote na kuzikonga vilivyo nyoyo za mashabiki waliofurika katika uwanja huo wa burudani.
Mbali
na Diamond, Mfalme wa Taarab nchini, Mzee Yusuf naye alifanya shoo kali
na kuwapagawisha mashabiki waliofika kwa wingi kuliko siku zote katika
ukumbi huo wa kisasa wa Dar Live.
(PICHA ZOTE NA MUSA MATEJA / GPL)
A few weeks ago, the Governor of the Central Bank of Nigeria, Godwin Emefiele, announced a nearly 10% devaluation of the Naira, Nigeria’s currency, after admitting that a plunge in world oil prices and dwindling dollar reserves were making it difficult to defend the value of the currency. The Naira is now trading at N187 to $1, compared to N165 in November. In dollar terms, the devaluation has knocked more than $40 billion off the value of Nigeria’s economy.
Dangote is the biggest loser among Nigeria’s richest people as the Naira’s slump, coupled with falling stock prices, has erased more than $7.8b of his fortune since Feb, when Forbes locked in the values for its annual ranking of the World’s Billionaires.
Dangote was worth $25 billion at the time; as of market close on Tuesday, he’s worth $17.2 billion. More than half of the drop in his fortune has happened since early November. As of Nov. 7, Dangote was worth $21.6 billion, $4.4 billion more than now.
Here’s why: The last few weeks have been a bit of a disaster for many companies listed on the Nigerian Stock Exchange. Several blue-chip stocks such as Dangote Cement, Zenith Bank, Transcorp and United Bank of Africa among several others have hit one-year-lows as a result of the fall in oil prices, a general uncertainty regarding the 2015 general elections, Central Bank regulatory headwinds, and weak earnings from large cap companies. These have all contributed toward putting naira-denominated assets including equities at risk.
After Dangote, the second biggest loser among Nigeria’s ultra-rich is Tony Elumelu, the Chairman of Heirs Holdings, an investment company. Heirs Holdings, which is wholly-owned by Elumelu, is the controlling shareholder in Transcorp, a publicly-listed conglomerate with interests in power production, hotels and agriculture. Transcorp’s current market capitalization is now $700 million, down from $1.4 billion at the beginning of November. Heirs Holdings has lost an estimated $345 million in paper value on Transcorp, and its stake in the company as at Monday is now worth roughly $400 million, down from $700 million. Elumelu’s investments in other listed companies like UBA, Africa Prudential PLC and UBA Capital have shed a little over $27 million in value.
Other big losers include Nigerian multi-millionaire banker Jim Ovia, a co-founder of Zenith Bank. The value of his stake in the financial services provider is $240 million as of late Monday, down from more than $350 million last month. He owns a 9% stake in the bank.
Nakushukuru sana Mungu kwa Kunifikisha siku ya Leo. Nakushukuru Mama yangu mzazi kwa kunizaa , kunilea na kunitunza (japo Umepumzika ila bado nakumbuka Maonyo yako siku zote za maisha yangu ). Nakushukuru Mke wangu kipenzi Upendo Gadiel na Mwanangu kipenzi Glory Gadiel kwa Kuwa nami katika changamoto zote za Maisha yangu, ki ukweli nawapenda Sana. Nawashukuru Ndugu, Jamaa na Marafiki kwa kuwa nami bega kwa bega katika hali zote, salute to you guys.... Mwisho Nawatakia Krismasi Njema na Mwaka mpya wa 2015. Ni mimi Gadiola Emanuel Mkurugenzi wa Wazalendo 25 Blog , www.arushapublicity.com na www.northernshotstz.com . Love you All...!!! |
Gadiola Emanuel the Director of Northern Shots |
Gadiola Emanuel The Director of Arusha Publicity...
Maktaba Yetu :Mablogger, wakiwa makini kunasa kila kinachozungumzwa.
Maktaba Yetu: Jeff Msangi, akichangia mada. Kulia ni Mwenyekiti wa Arusha Bloggers Network Bw. Gadiola Emanuel na kushoto ni Shamim Mwasha wa 8020 FASHIONS Blog.
Maktaba Yetu
Maktaba Yetu :Picha ya pamoja mara baada ya kumaliza Semina, kutoka kushoto ni Julius Felix (TCRA) , Seria Tumainiel ( Arusha 255 Blog ), Bw. Innocent Mungy (TCRA) ,Victor Machota (ASILI YETU TANZANIA Blog) ,Gadiola Emanuel (WAZALENDO 25 BLOG) na Woinde Shizza (LIBENEKE LA KASKAZINI).
Mkoa wa Dar es Salaam unaonekana kuwa na wadau wengi zaidi. Mikoa mingine wapo pia, ikiwamo Arusha lakini hawafahamiki sana kitaifa kama ilivyo maeneo mengine. Kwa kutambulika na mamlaka ya mawasiliano nchini TCRA, teknolojia hii inapaswa kuenziwa na kusimamiwa vyema ili jamii iweze kunufaika nayo vizuri, na wahusika nao wakinufaika kwa namna moja au nyingine. Teknolojia hii katika uwanja wa mawasiliano inahusisha pia mitandao mingine ya kijamii kama Facebook, Tweeter n.k bila kusahahu wavuti za makampuni ama watu binafsi. Baadhi ya maBlogga wa Jijini Arusha waliokutana katika kikao cha kujadili mustakabali wa ushiriki wao katika dunia ya utandawazi hasa katika matumizi ya mitandao ya kijamii, lengo la kukutana kwao ikiwa ni kupanga mikakati ya kuanzisha umoja wa blogga wote wanaoishi ama kufanya shughuli zao Jijini hapa. Kutoka kushoto, majina yao na anuani za blog kwenye mabano ni Woinde Shizza kutoka LIBENEKE LA KASKAZINI (http://woindeshizza.blogspot.com; Thomas wa JITAMBUE KWANZA BLOG (http://jitambuekwanza.blogspot.com/); Gadiola Emmanuel wa WAZALENDO25 (http://wazalendo25.blogspot.com/); (Victor Machota wa ASILI YETU TANZANIA (http://victormachota.blogspot.com) na Bertha Mollel wa BERTHA BLOG (http://berthamollel.blogspot.com/). Bloga mwingine ambaye haonekani pichanni ni Seria Tumainiel wa NOISE OF SILENCE (http://arusha255.blogspot.com) SeriaJr wa Arusha255 (mwenye sweta) akifurahia jambo na wajumbe wengine Umakini katika kusikiliza mjadala na maoni ya wengine Bertha Mollel na Victor Machota wakibadilishana mawazo baada ya kikao kumalizika. |