SAUTI SOL, SKYLIGHT BAND NA YAMOTO BAND WAPAGAWISHA WAKAZI WA DAR BEAUTY and MUSIC NIGHT!

By Gadiola Emanuel - 5:12:00 AM

DSC_0437
Kundi la muziki kutoka nchini Kenya Sauti Sol waking'ara kwenye Red Carpet mwishoni mwa juma kwenye BEAUTY and MUSIC Night uliofanyika kwenye fukwe za Escape One Mikocheni jijini Dar
DSC_0429
Petit Man (katikati) akishow love na wasanii wa bongo flava waliotumbuiza kwenye usiku huo maalum Kulia ni Mirror na Kushoto ni msanii wa bongo flava Jordan.
DSC_0424
Mwanadada mrembo akishow love mbele ya camera yetu.
DSC_0427
Petit Man Wakuache aking'ara kwenye Red Carpet.
DSC_0434
Mirror na msanii mwenzake Jordan wakishow love kwenye red carpet.
DSC_0450
Kundi la Sauti Sol baada ya kutoka kwenye Red Carpet waliekelea kwenye chumba maalum cha mapumziko huku wakisubiria kufanya yake kwenye jukwaa la BEAUTY and MUSIC Night show iliyobamba wakazi wa Dar mwishoni mwa juma.
DSC_0471
Bien Baraza na Delvine Mudigi (kulia) wakibadilishana mawazo kwenye chumba cha mapumziko kabla ya kupanda kujwaani.
DSC_0472
Bien Baraza akibadilishana mawazo na wasanii wenzake kabla ya kupanda jukwaani.
DSC_0658
Sauti Sol wakichizisha wakazi wa Dar waliofurika kwenye fukwe za Escape One wakati wa BEAUTY and MUSIC Night mwishoni mwa juma.
DSC_0664
Delvine Mudigi wa kundi la Sauti Sol akiwapa raha wakazi wa Dar.
DSC_0676
Chimano Austin (kushoto) na Bien Baraza wa Sauti Sol wakifanya yao jukwaani.
DSC_0678
Mashabiki wakionekana kuchizika na Sauti Sol.
DSC_0679
Bien Baraza akifanya yake jukwaani.
DSC_0682
Jeshi la mtu tatu Sauti Sol wakiwapa utamu wa ngoma za tane wakazi wa Dar.
DSC_0758
Palifurikaje sasa..!
DSC_0707
Bila kumsahau Polycarp Otieno naye alihusika kutoa vionjo vyake kwenye burudani hiyo.
DSC_0735
Willis Chimano Austin akiwapa raha warembo wa Tanzania.... Walipigaje Nduru sasaa....!!
DSC_0692
Sauti Sol wakiwajibika jukwaani.
DSC_0760
Nduru za kutosha zilisikika!
DSC_0768
DSC_0774
Mrembo wa kitanzania akifungua shati Bien Baraza wa Sauti Sol alipokuwa akiimba ule wimbo wa Nishike.
DSC_0778
DSC_0788
Bien Baraza akipagawishwa na murembo wa kibongo jukwaani.
DSC_0796
Nduru ziliendelea kupigwa vilivyo.
DSC_0813
Shabiki murembo wa Sauti Sol akishow love Bien Baraza.
DSC_0817
Chimano Austin akiomba ridhaa mashabiki kuondoka nae Kenya mrembo huyo jukwaani.
DSC_0827
#LIPALAdance #SuraYako.......Sura yako muziri mama....Cheza dance kidogo....piga dance kidogo....ilishezeka kisawa sawa.
DSC_0836
Kwa picha zaidi Bofya Hapa

na fredy mgunda

  • Share:

You Might Also Like

0 comments