JUSTIN BIEBER APATA AJALI AKIKWEPA MAPAPARAZZI

By Gadiola Emanuel - 6:30:00 AM

Justin Bieber amepata ajali ya gari jana mchana huko Beverly Hills wakati akiwakwepa mapaparazi waliokuwa wakimfuata



Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, msanii huyo alikuwa amekaa kwenye kiti cha abiria kwenye gari aina ya Escalade wakati ajali hiyo inatokea na haraka alihamishiwa kwenye gari nyingine.Hata hivyo, Hakuna aliyeumia kwenye ajali hiyo.

  • Share:

You Might Also Like

0 comments