JUST RED CARPET : BANG MAGAZINE 10TH ANNIVERSARY

By Gadiola Emanuel - 1:33:00 AM


Ukodak wa Nguvu kwa warembo Hawa Kwenye Red Carpet Ya miaka 10 ya Bang Magazine
Wageni wakiendelea kufurahia kupata picha kwenye Red Carpet ya Miaka 10 Ya Bang Magazine
Mwanadada akifurahia kupata picha kwenye Red Carpet ya Miaka 10  ya Bang magazine
Mkurugenzi mkuu wa Bang Magazine Emelda Mwamanga akipata Picha kwenye Red Carpet
Mkurugenzi Mkuu wa Bang Magazine Emelda Mwamanga akipata picha na mama Wa Msanii Toka Marekani Yvonne Sangudi Kwenye Red Carpet
Wageni Wakiendelea kupata Picha Kwenye Red Carpet Ya miaka 10 ya Bang Magazine
Warembo wakipata Picha ya pamoja kwenye red carpet
Designer Faustine Simon akiwa na mrembo wakipata picha kwenye Red Carpet
Meneja Wa Skylight Band Aneth Kushaba akipata picha kwenye Red Carpet ya Bang Magazine
Miss Tanzania 2013/14 Happiness Watimanywa akipata Picha ya Red Carpet Miaka 10 Ya Bang Magazine

  • Share:

You Might Also Like

0 comments