DIAMOND NA NEY WA MITEGO WAFUNIKA KATIKA FIESTA 2013 NDANI YA DODOMA
By Gadiola Emanuel - 1:18:00 AM
Mkongwe wa muziki wa kizaz kipya
a.k.a Bongofleva Afande Sele a.k.a Baba Tunda a.k.a Simba Mzee
akidhihirisha ukongwe juu ya steji ya tamasha la
Serengeti linalofanyika usiku huu ndani ya uwanja wa Jamuhuri mkoani
Dodoma,ambapo maelfu ya watu washabiki wamejitokeza kushuhudia tamasha hilo ambalo hufanyika mara moja kwa mwaka.
Serengeti linalofanyika usiku huu ndani ya uwanja wa Jamuhuri mkoani
Dodoma,ambapo maelfu ya watu washabiki wamejitokeza kushuhudia tamasha hilo ambalo hufanyika mara moja kwa mwaka.
Msanii mahiri ambaye kwa sasa anasumbua vilivyo anga ya muziki wa
Bongofleva,Diamond akiwaimbisha mashabiki wake usiku huu kwenye tamasha la serengeti fiesta 2013,linalofanyika usiku huu kwenye uwanja wa
Jamuhuri.
Bongofleva,Diamond akiwaimbisha mashabiki wake usiku huu kwenye tamasha la serengeti fiesta 2013,linalofanyika usiku huu kwenye uwanja wa
Jamuhuri.
Haaaa haaaa...ukitaka kubana pua kabane nyumbani kwenu,hapa ni hip hop
tuuu.....Msanii wa Bongofleva Ney wa Mitego wakioneshana umahiri umwamba wa jukwaani na msanii mwenzake Dimond kupitia wimbo wa Muziki Gani.
tuuu.....Msanii wa Bongofleva Ney wa Mitego wakioneshana umahiri umwamba wa jukwaani na msanii mwenzake Dimond kupitia wimbo wa Muziki Gani.
Maelfu ya Watu wakiwa kwenye uwanja wa jamuhuri,usiku huu wakishangweka na tamasha la Serengeti Fiesta 2013.
Mwanadada ambaye wengi wanadai
amerithi viuno na sauti kutoka mwanamuziki Ray C,anaitwa Rachael kutoka
nyumba ya vipaji a.k.a THT akiimba jukwaani huku akionesha umahiri wake
wa kukata mauno.
PICHA ZAIDI bofya hapa MICHUZIJR.BLOGSPOT.COM
0 comments