Katibu wa Taswa Arusha Bw. Mussa Juma akiongea na waandishi wa habari kuhusiana tamasha la taswa linalotarajiwa kufanyika kesho katika kiwanja cha general tyre |
TASWA FC toka Dar Es Salaam, wakiwa safarini kuja Arusha Kwenye Bonanza la Vyombo vya habari utakao fanyika kesho katika viwanja vya General Tyre-Njiro Arusha. |
0 comments