HAYATI EDWARD MORINGE SOKOINE AENZIWA NA MHE. GODBLESS LEMA, MHE. CHRISTOPHER OLE SENDEKA NA MHE. EDWARD LOWASSA HUKO MONDULI, ARUSHA
By Gadiola Emanuel - 6:11:00 AM
"Dickson Marwa"kutoka katika Club ya "Holili" ndiye
mshindi wa kwanza katika mbio za kilometa 10 za kumuenzi hayati "Edward
Moringe Sokoine" zilizofanyika Monduli Arusha.
Mshindi wa pili "Leonard John" (mwenye nyeusi kushoto) kutoka katika Club ya (Winning Spirit) akiwa na mshindi wa tatu "Msenduki Mohamed" kutoka katika Club ya (Hakika) wakiandikishwa mara baada ya kumaliza mbio za kilometa 10, katika mbio za kumuenzi Hayati Edward Moringe Sokoine Monduli ,Arusha.
Mshindi wa kilometa 10 kwa wanawake - Catherine Lange akipokea tuzo na waziri wa Habari ,michezo na Utamaduni Dr. Fenella Mukangara katika mbio za kumuenzi Hayati Edward Moringe Sokoine Monduli ,Arusha.
Mshindi wa pili katika kilometa 10 kwa wanawake kwa wanariadha wa Kimataifa, akiandikishwa mara baada ya kumaliza mbio, katika mbio za kumuenzi Hayati Edward Moringe Sokoine Monduli ,Arusha.
Mshindi wa kwanza kwa Wanafunzi wa wilaya ya Monduli kwa wasichana
kilometa 2 (kulia) Irene Simon akiwa na mshindi wa pili (kushoto)
Hapiness Charles katika mbio za kumuenzi Hayati Edward Moringe Sokoine
Monduli ,Arusha.
Mshindi wa kwanza kwa Wanafunzi wa Wilaya ya Monduli Wanaume (kulia) ni
Nganeni Shilalo akiwa na mshindi wa pili Lewanga Melita na watatu
Lonyoike Tulito katika mbio za kilomita 2 ,katika mbio za kumuenzi Hayati Edward Moringe Sokoine Monduli ,Arusha.
Mshindi wa tatu (kushoto) Ngeani Ng'arde, kwa Wanafunzi wa wilaya ya
Monduli wasichana katika mbio za kilometa 2 akiwa na mshindi wa pili ,katika mbio za kumuenzi Hayati Edward Moringe Sokoine Monduli ,Arusha.
Mzee wa
Kimasai akimalizia mbio ,huku akishuhudiwa na Mratibu na Mwanaharakati wa Mashindano hayo
Bw. Wilhelm Gidabuday ( mwenye Jezi ya Bluu) na mzee Kamili kushoto
kwakwe katika mbio hizo za kumuenzi Hayati Edward Moringe Sokoine Monduli ,Arusha.
|
Mshindi wa kilometa 10 kwa wanawake - Catherine Lange akiwa akihojiwa na waandishi wa habari ,katika mbio za kumuenzi Hayati Edward Moringe Sokoine Monduli ,Arusha.
Mshindi wa kilometa 10 kwa wanawake - Catherine Lange akihojiwa na TBC1 katika mbio za kumuenzi Hayati Edward Moringe Sokoine Monduli ,Arusha.
Mbunge wa Simanjiro Mhe. Christopher Ole Sendeka akishiriki mbio za 'Moringe Sokoine Mini Marathon 'katika mbio hizo za kumuenzi Hayati Edward Moringe Sokoine Monduli ,Arusha.
Waziri Mukangara aliwaomba wananchi kuikumbuka siku aliyofariki Edward Sokoine 12/4/1984 pamoja na mema aliyowatendea wananchi wake.
Mzee
wa kimaasai akimalizia mbio ,huku akishuhudiwa na Mwenyekiti wa riadha
Mkoa wa Arusha Bw. Joseph Jorwa katika mbio hizo za kumuenzi Hayati
Edward Moringe Sokoine Monduli ,Arusha. |
0 comments