ELIZABETH MICHAEL "LULU" HAPPY BIRTHDAY 18 YRS OLD

By Gadiola Emanuel - 7:58:00 AM


Dr. Cheni akiwa na Lulu.
 Muigizaji maarufu nchini Elizabeth Michael" Lulu", amesherehekea siku yake ya kuzaliwa akiwa anatimiza miaka 18, ndani ya Serena Hotel akiwa yeye, familia, mwanamuziki Ally Kiba na Bongo movie staa Dr. Cheni pamoja na marafiki wengine.

Keki ya siku ya kuzaliwa ya Lulu.

Lulu akiwa na Ally Kiba.

  • Share:

You Might Also Like

0 comments