­
­

GIDABUDAY "AONYA WATU KUACHA KUDHARAU HARAKATI ZA KIZALENDO"

By Gadiola Emanuel - 8:08:00 AM
  • Share:

THIS IS THE SPIRIT OF MARATHON RUNNING

By Gadiola Emanuel - 7:57:00 AM
A Kenyan elite runner passes water to a dehydrated disabled Chinese runner who she saw suffering. This delayed her from winning. She became 2nd in the race not only losing the 1st position but also a US$10,000 cash prize. It's not all about winning. Gold is not only found in our land here in Africa, the best Gold in Africa is found in...

Continue Reading

  • Share:

UHURUTO: UNVEILING THE DIGITAL CABINET

By Gadiola Emanuel - 7:51:00 AM
With Deputy President William Samoei Ruto during the Presentation of the nominees for the posts of Cabinet Secretary in the National Tressury, Information Communication (ICT),Health and Foreign Affairs at State House. Nairobi. — at State House. with Deputy President William Ruto introducing the new Cabinet Secretary nominee in the Ministry of Foreign Affairs Amb. Amina Mohamed to Kenyans at State House Nairobi. —...

Continue Reading

  • Share:

CHADEMA YATOKELEZEA KATIKA MJI WA IRINGA LEO

By Gadiola Emanuel - 9:46:00 AM
Katibu  mkuu  wa Chadema Dr. Wilbroad Slaa akihutubia  umati  mkubwa wa wananchi  wa jimbo la Iringa mjini katika  uwanja  wa Mwembetogwa mjini Iringa Mbunge  wa   jimbo la Iringa mjini akiwapungia mkono  wananchi  waliojipanga barabarani  kuwapungia  wabunge wa Chadema na katibu mkuu  wa Chama   hicho. Mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Joseph Mbilinyi "SUGU"  akiwahutubia wananchi jimbo la Iringa mjini. Mbunge  wa jimbo la...

Continue Reading

  • Share:

DR. JAKAYA KIKWETE OPENS AU MINISTERIAL MEETING FOR PEACE AND SECURITY IN DAR ES SALAAM

By Gadiola Emanuel - 8:58:00 AM
President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete welcomes former Mozambican President and SADC mediator for Madagascar  , Joachim Chissano at Dar es Salaam Serena Hotel during the opening ceremony for the 368th Ministerial Meeting of the Peace and Security Council of the African Union. President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete delivers his speech during the opening ceremony for the Ministerial Meeting of the Peace and Security of the...

Continue Reading

  • Share:

AIRTEL YATOSHA YA CHANGANYA WATU WA TANGA

By Gadiola Emanuel - 7:52:00 AM
Masanii  maarufu kwa vichekesho "Masele"  wa kundi la vituko shoo toka Dar es salaam akitoa burudani kwa wakazi wa Tanga  wakati wa Tamasha maalum la uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel yatosha katika viwanja vya Tangamano mkoani Tanga Umati wa wakazi wa Tanga wamejitokeza kushuhudia burudani na kuzindua rasmi huduma ya Airtel yatosha mkoani Tanga katika viwanja vya Tangamano mkoani humo Wasanii wa kundi la Toto afrika...

Continue Reading

  • Share:

DEPUTY PRESIDENT OF KENYA WILLIAM RUTO AT WINNERS CHAPEL

By Gadiola Emanuel - 8:38:00 AM
Deputy President Willam Ruto and Bishop Margaret Wanjiru of the Jesus Is Alive Ministries during a service to inuagurate Winners Chapel along Mombasa Road yesterday. The Winners Chapel International Bishop David Oyedepo preached during the service. Deputy President William Ruto, his wife Racheal (left) and Bishop Oyedepo (in a white suit) the Presiding Bishop of Winners Chapel International cut a cake during the...

Continue Reading

  • Share:

ELIZABETH MICHAEL "LULU" HAPPY BIRTHDAY 18 YRS OLD

By Gadiola Emanuel - 7:58:00 AM
  • Share:

JCB NDANI YA DAR ES SALAAM NA FAMILIA YAKE

By Gadiola Emanuel - 3:23:00 AM
 Mwana Hip Hop JCB kutoka katika kundi la Watengwa Kijenge Juu Arusha, akiwa na mwanae Albert "JCB" Makalla ndani ya studio za Clouds fm. JCB akiwa amembeba mwanae akiwa na mtangazaji wa kituo cha radio cha EAST AFRICA - "Kennedy The Remedy" ...

Continue Reading

  • Share:

AIRTEL YATOSHA YAZINDULIWA CHALINZE , PWANI.

By Gadiola Emanuel - 9:22:00 AM
    Meneja mahusiano wa Airtel-Tanzania akimsikiliza mmoja wa wakazi wa mji wa Chalinze-Mkoa wa Pwani namna anavyoweza kujiunga na kuitumia huduma mpya ya Airtel Yatosha,wakati wa tamasha la uzinduzi wa huduma hiyo yenye bei nafuu ,lililofanyika mkoa wa pwani kwa  siku  wa mbili (Jumamosi & Jumapili),  katika viwanja vya sokoni chalinze.   Anaitwa Sir Juma Nature a.k.a Kibra akiongoza mashambulizi makali ya kundi lake la TMK-Wanaume...

Continue Reading

  • Share:

HAYATI EDWARD MORINGE SOKOINE AENZIWA NA MHE. GODBLESS LEMA, MHE. CHRISTOPHER OLE SENDEKA NA MHE. EDWARD LOWASSA HUKO MONDULI, ARUSHA

By Gadiola Emanuel - 6:11:00 AM
 "Dickson Marwa"kutoka katika Club ya "Holili"  ndiye mshindi wa kwanza katika mbio za kilometa 10 za kumuenzi hayati "Edward Moringe Sokoine" zilizofanyika Monduli Arusha. Mzee wa Kimasai akimalizia mbio ,huku akishuhudiwa na Mratibu na Mwanaharakati wa Mashindano hayo Bw. Wilhelm Gidabuday ( mwenye Jezi ya Bluu) na mzee Kamili kushoto kwakwe katika mbio hizo za kumuenzi Hayati Edward Moringe Sokoine Monduli ,Arusha.  Mshindi...

Continue Reading

  • Share: