RAIS Dr. JAKAYA KIKWETE AZINDUA MIRADI YA BARABARA MANYONI-ITIGI-CHAYA na ISSUNA-MANYONI MKOANI SINGIDA LEO
By Gadiola Emanuel - 9:17:00 AM

Sehemu ya barabara mpya iliyozinduliwa na Rais Kikwete karibu na mji wa Katesh mkoani Manyara

Sehemu ya barabara mpya karibu na mji wa Manyoni iliyozinduliwa leo na Rais Kikwete

Sehemu ya barabara mpya iliyozinduliwa na Rais Kikwete mkoani Manyara

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua ujenzi wa Barabara ya Manyoni-Itigi-Chaya mkoani Singida

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua ujenzi wa Barabara ya
Manyoni-Itigi-Chaya mkoani Singida . Pembeni yake kulia ni Waziri wa
Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi
barabara ya Issuna-Manyoni akiwa na viongozi wa serikali na wa TANROADS
pamoja na wabunge wa mkoa wa Singida

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa sherehe za
uzinduzi wa ujenzi wa Barabara ya Manyoni-Itigi-Chaya mkoani Singida

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipozi na viongozi wa serikali na wa
kampuni ya ujenzi baada ya kuzindua ujenzi wa Barabara ya
Manyoni-Itigi-Chaya mkoani Singida.Picha na IKULU
0 comments