Jukwaa Umepambwa na umepambika.
Taa za kutosha zinazomulika Jukwaa hilo.
Meneja wa
Kinywaji cha Redd's Original,Victoria Kimaro akisikiliza maelezo kutoka
kwa Afisa Habari wa Miss Tanzania,Hidan Ricco kuhusiana na maandalizi ya
Shindano la Redd's Miss Tanzania 2012 linalotajariwa kufanyika kesho
kwenye ukumbi wa Hoteli ya Blue Peal,Ubungo Plaza jijini Dar.
Hili ndilo Van la Star Tv ambalo ni maalum kwa kurusha kila kitakachokuwa kikiendelea ukumbini hapo.
Mashine za Kisasa ndani ya Van hiyo.
Wadau wakiangalia Van ya Star Tv.
Mafundi Mitambo wakiweka sawa mambo. Pics by 8020 Fashions
0 comments