­
­

Doting father: Obafemi Martin takes a stroll with son

By Gadiola Emanuel - 9:57:00 AM
The footballer photographed taking a stroll with his youngest son.. The footballer photographed taking a stroll with his youngest son.. ...

Continue Reading

  • Share:

DIAMOND AMVISHA TENA PETE YA UCHUMBA WEMA SEPETU

By Gadiola Emanuel - 7:40:00 AM
Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu (25) akionyesha pete aliyovishwa na Diamond. Wema Isaac Sepetu (25) ameibua viulizo baada ya kuonekana akirandaranda na pete ya ndoa kidoleni ikidaiwa kuwa amevalishwa na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kwa siri kubwa,Baada ya kuwepo kwa habari nyingi kuhusiana na ishu hiyo, Ijumaa Wikienda liliingia mzigoni kusaka ukweli wa ishu hiyo na kujua mbivu na mbichi. Kwa mujibu wa...

Continue Reading

  • Share:

Photos: German footballer Mario Götze' giant bulge while on holiday with GF

By Gadiola Emanuel - 3:04:00 AM
Not that many people knew who he was when these photos were taken two years ago, but last Sunday he scored the triumphant goal that helped Germany win the 2014 World Cup, and now that everybody knows his name, the photos have resurfaced. The photos show German footballer Mario Götze and his model girlfriend, Ann-Kathrin Brömmel on a romantic holiday in Ibiza back...

Continue Reading

  • Share:

AFRIKA KUSINI YATUA KUIVAA SERENGETI BOYS

By Gadiola Emanuel - 2:47:00 AM
 Afrika Kusini (Amajimbos) imewasili nchini kuikabili Tanzania (Serengeti Boys) katika mechi ya kwanza ya raundi ya pili ya michuano ya Afrika kwa vijana wenye umri chini ya miaka 17 itakayochezwa keshokutwa (Julai 18 mwaka huu) kwenye Uwanja wa Azam Complex jijini Dar es Salaam. Timu hiyo yenye msafara wa watu 37 ilitua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jana usiku...

Continue Reading

  • Share:

Just Spoiling! Davido splashes N6.3m on a rolex watch

By Gadiola Emanuel - 12:51:00 AM
That's atleast $39k..Big boy ...

Continue Reading

  • Share:

Baby Fashionista! Kim K says North West hates pink and print outfits

By Gadiola Emanuel - 12:48:00 AM
Who would have thought a baby had fashion choices? Well, North West does..During a chat with Elle Magazine, when asked about Kids fashion,Kim shocked the interviewer by saying "North doesn't really like pink. Like, she's very neutral…she doesn't like prints. She hasn't liked it for her whole life.  How does she…how old is she now? Kim: She’s one. When asked how North communicates...

Continue Reading

  • Share:

Amazing !Floyd Mayweather buys his girlfriend $400k Rolls Royce as birthday gift

By Gadiola Emanuel - 11:49:00 PM
Boxing champ Floyd Mayweather over the weekend presented a $400k custom Phantom Rolls Royce to his current girlfriend, Bad Medina. He, of course, made sure to share the news on social media. He posted pics of the car on instagram and wrote "I know your birthday is on July 27th but here is an early birthday gift @badmedina. The thing about Floyd is,...

Continue Reading

  • Share:

Shakira na WycLLeaf Jean Wapiga Bonge ya Show katika kombe la Dunia 2014, Germany

By Gadiola Emanuel - 11:25:00 PM
Mshambuliaji wa German Mario Goetze (kushoto) akishangilia bao pekee aliloifungia timu yake dhidi ya Argentina, katika dakika za nyongeza fainali za Kombe la Dunia jana usiku. German ilishinda bao 1-0 TIMU ya Germany, jana usiku imeibuka mabingwa wapya wa michuano ya Kombe la Dunia 2014 'FIFA World Cup', baada ya kuifunga Argentina kwa bao 1-0, katika mchezo wa Fainali za Kombe la Dunia...

Continue Reading

  • Share:

Germany deserve World Cup glory, says Guardiola

By Gadiola Emanuel - 9:39:00 AM
Na Baraka Mbolembole Neuer  alijumuhishwa kwa mara ya kwanza katika kikosi cha timu ya Taifa ya Ujerumani, Mei 19,2009 wakati mabingwa hao wapya wa kombe la dunia walipokuwa na ziara katika bara la Asia. Golikipa huyu wa zamani wa Schalke 04, aliiwakilisha nchi yake kwa mara ya kwanza, Juni 2, 2009 katika mchezo wa Kimataifa wa kirafiki dhidi ya United Arab Emirates, akapangwa...

Continue Reading

  • Share:

UTENGENEZAJI WA VIDEO YA WIMBO WA KIPI SIJASIKIA WA PROF JAY NA DIAMOND UNAENDELEA CHINI YA NEXT LEVEL

By Gadiola Emanuel - 2:16:00 AM
 Msanii mkongwe kwenye game la Bongo Fleva anajulikana kwa jina la Prof Jay leo mchana alikuwa akishoot video yake mpya aliyomshirikisha Diamond inaitwa KIPI SIJASIKIA. Video hiyo iliyokuwa ikishutiwa pale Sinza Makaburini ilipo Mahakama. Video imesimamiwa wa Dir Adam Juma kutoka Next Level  Diamond kama wakili wa Profesa J Prof Jay akiwa na Prod P Funk Majani, DJ Choka akiingia mahakamani Jini Kabula...

Continue Reading

  • Share: