WASANII WA KIZAZI KIPYA ,LINAH NA MENINAH WAFANYA BONGE LA BIRTHDAY PARTY NDANI YA CLUB BILLICANAS

By Gadiola Emanuel - 12:10:00 AM



Msanii Linah anayefanya vizuri katika anga za muziki wa Bongo Flava akifanya makamuzi kwenye kioata cha Bilicanas siku ya Jumapili March 16, 2014 usiku kusherehekea siku yake ya kuzaliwa ambayo ni leo March 17, 2014. Wadau mbalimbali wakipata ukodak moment kwenye makamuzi ya Linah mwanamuziki anayekimbiza sasa hivi Bongo ndani ya Club Bilicans siku ya Jumapili March 16, 2014. Linah (kushoto) akiwa na Menina (wapili toka kulia) wakijiandaa kukata keki kwenye kiota cha Bilicans usiku wa kuamkia leo wote wawili walisherehekea siku zao za kuzaliwa kwa kufanya makamuzi. Menina na mshiriki wa Bongo Star Serch wa 2012. Kutoka kushoto ni Menina Msanii BSS 2012, Sundy Gaga msani wa THT anayechipukia na Linah wakipata picha ya pamoja ndani ya club Bilicanas. Linah akimlisha keki produza Nashid Zaina kutoka kushoto ni Linah ,Sam Misago Mtangazaji wa Eat Radio, Menina, Sundy Gaga na Asia msanii wa THT anayechipukia Shadey Mtangaji wa Clouds TV akiwafanyia mahojiano kwenye zulia jekundu wasanii Linah na Menina.

  • Share:

You Might Also Like

0 comments