CELEBS WISDOM :DIAMOND PLATNUMZ NA BUSARA ZAKE!!!

By Gadiola Emanuel - 8:50:00 AM



Haijalishi ni kiasi gani
unayaona maisha yako kuwa
ni mabaya,..usikate tamaa ,kuna watu hawana viungo
vyote vya mwili kama wewe,but Mungu Kakupa,unakula
milo miwili,mitatu hata mmoja kwa siku,lakini kuna mtu
sehemu anatamani ale tu hata hicho unachokibakiza mezani.kuna
mtu hana kitu kabisa,ana fight japo aendelee kuishi tu.Usikate tamaa
siku zote amka ukiwa na
moyo wa kusamehe,kushukuru
kwa kila jambo na zaidi,appreciate kwa
chochote
Mungu anachokubaliki,Zingatia...MAFANIKIO NI LAZIMA KWA
KILA ANAEFANYA KAZI KWA BIDII NA UAMINIFU.
@Diamond Platnumz

  • Share:

You Might Also Like

0 comments