Actor Richard Griffiths, who starred in the Harry Potter movies and Withnail and I, has died at the age of 65 after complications following heart surgery. Griffiths enjoyed a long career of success on film and on TV, but also on the stage where he was a Tony-winning character actor. He was best known for playing Vernon Dursley in the Harry Potter films...
Ben Pol, G Nako pamoja na Director Nisher wakiwa katika utengenezwaji wa video ya wimbo wa "Mama Yeyoo" ya G Nako ndani ya jiji la Arusha.
Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Nisher alitupia picha hii pamoja na ujumbe huu..... "Namshkuru Mungu Na G-Wara + Ben'Pol kwa siku ya Kwanza ya Shooting ya Mama Yeyoo! Kesho tunaendelea na Kazi!" Bofya hapa kwa picha zaidi>>>
Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Nisher alitupia picha hii pamoja na ujumbe huu..... "Namshkuru Mungu Na G-Wara + Ben'Pol kwa siku ya Kwanza ya Shooting ya Mama Yeyoo! Kesho tunaendelea na Kazi!" Bofya hapa kwa picha zaidi>>>
Mkuu wa Kitengo cha Uzalishaji na Masoko wa DTB, Sylvester Bahati,(kushoto)akiwaelezea waandishi wa habari,jinsi ya kutoa fedha kwenye mashine za kutolea fedha za DTB kupitia huduma ya Vodacom M PESA ambapo sasa wateja wanaotumia huduma hiyo wanaweza kutoa pesa kupitia mashine hizo popote walipo nchini,huduma hiyo imezinduliwa leo jijini Dares Salaam pamoja nae ni Meneja mahusiano ya nje wa Vodacom Tanzania,Bw.Salum Mwalim....
NEW PRESIDENT OF CHINA XI JINPING RECEIVES ROUSING WELCOME IN DAR ES SALAAM
By Gadiola Emanuel - 5:11:00 AM













China's new President Xi Jinping arrived in Tanzania today ahead of a three-nation Africa tour also taking in South Africa and the Republic of the Congo. President Xi flew into Dar es Salaam with his wife from Moscow. After holding official talks scores of ministers and CEO of Chinese companies signed a totalo of 16 accords before the new President of China...




Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars),Thomas Ulimwengu akiwatoka Golikipa na Beki wa Timu ya Taifa ya Morocco wakati wa Mchezo wa kuwania tiketi ya kufuzu kucheza Kombe ya Dunia Mwaka 2014 kule nchini Brazil,uliochezwa jioni hii kwenye uwanja wa Taifa wa Jijini Dar es Salaam.Taifa Stars imeshinda Bao 3 - 1,mabao yaliyotiwa kimiani na Mshambuliaji Machachari,Mbwana Samatha na Thomas Ulimwengu....
SIKU YA UZINDUZI WA ALBAM YA LADY JAY DEE "JOTO HASIRA" DAR ES SALAAM
By Gadiola Emanuel - 12:18:00 AM
Mkongwe
wa Muziki wa Kizazi kipya, Judith Wambura Mbibo maarufu kama Lady Jaydee alifanya uzinduzi wa video yake mpya juzi ,aliyomshirikisha Mkongwe
Mwenzake wa muziki wa kizazi kipya Bw. Joseph Haule ‘Prof. J’ kwenye Video ya Wimbo huo wa "JOTO HASIRA"
Pichani juu ni Lady Jaydee akiimba wimbo wake huo mpya wa Joto Hasira kwaheri shida, mbele ya mashabiki wake wakati wa uzinduzi wa video ya wimbo huo.
Jaydee
alifanya uzinduzi huo katika mgahawa wake wa Nyumbani Lounge uliopo Namanga
wilayani Kinondoni Jijini Dar es Salaam na kushuhudiwa na mamia ya wapenzi wa
Burudani na muziki wa mwana dada huyo.
Uzinduzi
huo ulisindikizwa na bendi ya Lady Jaydee ya Machozi Band na kutoa burudani
ambayo ilikonga nyoyo za mashabiki wake.
Jaydee akiwa kando ya gari lake mara
baada ya kuwasili Nyumbani Lounge tayari kwaajili ya uzinduzi wa Video yake
mpya ya Joto Hasira.
Lady JayDee akitoa burudani mbele ya
mashabiki wake
![]() |
Vyombo mbali mbali vya habari vikipata mawili matatu kutoka kwa Komandoo Jide ndni ya Nyumbani Lounge jijini Dar es Salaam. |
Gadner G.
Habash ambaye ni mmoja wa Wakurugenzi wa Nyumbani Lounge na Machozi Band
akizungumza na vijana walioshiriki katika kutengeneza Video mpya ya Joto Hasira
ya Lady JayDee
Prof.J
ameshiriki katika wimbo huo wa Lad JayDee Joto Hasira nae alikuwepo
Ukumbini hapo, hapa akipiga picha na Warembo walio pamba show hiyo.
![]() |
Shangwe Za kutosha kwa Komandoo Jide |
![]() |
Wana dada waandishi wa habari waki show love katika uzinduzi wa wimbo wa Lady Jay Dee "JOTO HASIRA" |






It's scenes from a movie starring Funke Akindele Oloyede and Nkem Owoh. What a combination! Movie should be hilarious... ...





Mkurugenzi wa 8020 Fashions Bi. Shamim Mwasha akisherehekea siku ya kuzaliwa kwa mtoto wake kipenzi IQRA ,shuleni kwao Muda wa kukata keki sasa...ila vimuli muli vinaonekana kuashiria ndo muda umewadia. AKAGAWA ZAWADI KWA WENZIE DARASANI...... Mkurugenzi wa 8020 Fashions Bi. Shamim Mwasha akisherehekea siku ya kuzaliwa kwa mtoto wake kipenzi IQRA ,shuleni kwao Muda...







































mtoto wa kike hata kama kucha si zako...uwe na vyakupendeza mkononi ,kitu pearls pearls JIONEEE YALOJIRI KWA MANICAM WOMEN CELEBRATIONS ...