By Gadiola Emanuel - 4:28:00 AM

BUNGE LIMEFUNGWA MPAKA JUNE 7 2011 Bunge la leo lilikuwa na changamoto kubwa sana hasa pale Mh.Clina kombani alipo leta muswada wa sheria za mahakama zote. sasa changamoto zilikuwepo pale mbunge mmoja wa upande wa upinzani yaani Mh. Tundu Lisu alipokuwa anachangia mabadiliko madogo ndani ya sheria hiyo. kwanza alitaka wakuu wa Mikoa na wilaya watolewe kwenye kamati ya mahakimu katika jambo lolote la kimahakama watakalokuwa wanachangia,akasema zitakuwa na SIASA ndani yake,ila SERIKALI ikapinga marekebisho ya miswada yote aliotoa Mh. Tundu Lisu. Anaglizo,Serikali inatakiwa ibadilishe KATIBA ili haya yote yajadiliwa kwa umakini.

  • Share:

You Might Also Like

0 comments