Siku JK alipozindua kiwanda cha saruji cha Dangote mkoani Mtwara

By Gadiola Emanuel - 2:34:00 PM





 Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Dangote Industries Alhaj Aliko Dangote katika sherehe za uzinduzi wa kiwanda cha kutengeneza Saruji cha Dangote eneo la Msijute mkoani Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na  Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Dangote Industries Alhaj Aliko Dangote katika sherehe za uzinduzi wa kiwanda cha kutengeneza Saruji cha Dangote eneo la Msijute mkoani Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa kwa mwakilishi wa serikali ya Nigeria na Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Dangote Industries Alhaj Aliko Dangote katika sherehe za uzinduzi wa kiwanda cha kutengeneza Saruji cha Dangote eneo la Msijute mkoani Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa kwa mmoja wa maofisa wa Nigeria na Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Dangote Industries Alhaj Aliko Dangote katika sherehe za uzinduzi wa kiwanda cha kutengeneza Saruji cha Dangote eneo la Msijute mkoani Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe  katika sherehe za uzinduzi wa kiwanda cha kutengeneza Saruji cha Dangote eneo la Msijute mkoani Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Samuel Sitta katika sherehe za uzinduzi wa kiwanda cha kutengeneza Saruji cha Dangote eneo la Msijute mkoani Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Lindi  Mhe. Jordan Rugimbana katika sherehe za uzinduzi wa kiwanda cha kutengeneza Saruji cha Dangote eneo la Msijute mkoani Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015


  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mmoja wa maafisa kutoka Nigeria  katika sherehe za uzinduzi wa kiwanda cha kutengeneza Saruji cha Dangote eneo la Msijute mkoani Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015


 Meza kuu


 Sehemu ya wageni


 Wageni waalikwa


 Mabinti wa Alhaj Aliko Dangote


 Ukumbi umefurika


 Wageni


 Wageni waalikwa


 Wageni waalikwa


 Wageni waalikwa


 Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC),Julieth Kairuki akibadilishana mawazo na mdau Shose Sinare


 Alhaj Aliko Dangote akihutubia walikwa katika sherehe za uzinduzi wa kiwanda cha kutengeneza Saruji cha Dangote eneo la Msijute mkoani Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015


 Waalikwa katika sherehe za uzinduzi wa kiwanda cha kutengeneza Saruji cha Dangote eneo la Msijute mkoani Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015


 Alhaj Aliko Dangote katika sherehe za uzinduzi wa kiwanda cha kutengeneza Saruji cha Dangote eneo la Msijute mkoani Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015




Wageni  katika sherehe za uzinduzi wa kiwanda cha kutengeneza Saruji cha Dangote eneo la Msijute mkoani Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015


 Rais Kikwete akimpongeza Alhaj Dangote kwa hotuba nzuri


 Rais Kikwete akihutubia


 Umati ukimsikiliza Rais Kikwete


 Wanakijiji wa Msijute wakisikiliza hotuba


  Rais Kikwete akihutubia


 Sehemu ya kiwanda cha Saruji cha Dangote, Mtwara



 Rais Kikwete akiendelea kuhutubia




 Vifijo baada ya hotuba


 Rais Kikwete, Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe Halima Denengo na Alhaj Dangote wakielekea sehemu ya kupiga picha


 Picha ya kumbukumbukatika uzinduzi wa  kiwanda cha Saruji cha Dangote, Mtwara


 Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete na Alhaji Dangote na mabinti wake watatu


 Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete na Alhaji Dangote na mabinti wake watatu na ujumbe wao toka Nigeria


 Sehemu ya wafanyakazi wa kutoka China na India wa  katika sherehe za uzinduzi wa kiwanda cha kutengeneza Saruji cha Dangote eneo la Msijute mkoani Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015


 Rais Kikwete akikata utepe katika sherehe za uzinduzi wa kiwanda cha kutengeneza Saruji cha Dangote eneo la Msijute mkoani Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015


 Rais Kikwete akifunua pazia katika sherehe za uzinduzi wa kiwanda cha kutengeneza Saruji cha Dangote eneo la Msijute mkoani Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015


 Rais Kikwete akiweka sahihi katika kitabu cha wageni katika sherehe za uzinduzi wa kiwanda cha kutengeneza Saruji cha Dangote eneo la Msijute mkoani Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015


 Wataalamu wakiwa kazini katika kiwanda cha Dangote Mtwara




 Rais Kikwete akipata maelezo ya uzalishaji wa saruji kutoka kwa dada Mbumi Mwampeta Mtanzania mwenye umri wa miaka 23 ambaye ni mhandisi wa uzalishaji 


 Rais Kikwete akipata maelezo ya uzalishaji wa saruji kutoka kwa dada Mbumi Mwampeta Mtanzania mwenye umri wa miaka 23 ambaye ni mhandisi wa uzalishaji wakati wa uzinduzi wa kiwanda cha kutengeneza Saruji cha Dangote eneo la Msijute mkoani Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015


 Rais Kikwete akipata maelezo ya jinsi saruji inavyotengenezwa katika uzinduzi wa kiwanda cha kutengeneza Saruji cha Dangote eneo la Msijute mkoani Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015


 Rais Kikwete akiondoka kiwandani baada ya  sherehe za uzinduzi wa kiwanda cha kutengeneza Saruji cha Dangote eneo la Msijute mkoani Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015


 Sehemu ya kiwanda cha Saruji cha Dangote, Mtwara


 Sehemu ya kiwanda cha Saruji cha Dangote, Mtwara


 Sehemu ya kiwanda cha Saruji cha Dangote, Mtwara


Sehemu ya kiwanda cha Saruji cha Dangote, Mtwara

KWA MENGI ZAIDI BOFYA HAPA >>>>

  • Share:

You Might Also Like

0 comments