MASAI WARRIORS WAPAGAWISHA WATOTO SIKUKUU YA IDD DAR LIVE
By Gadiola Emanuel - 11:59:00 AM
WAUMINI wa dini ya Kiislam nchini kote jana waliungana na waumini wenzao duniani kote kusherehekea sikukuu ya Idd El Hajj.
Katika kusherehekea sikukuu hiyo, ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijiniDar es Salaam, kulikuwana tamasha lililotambulishwa kama ‘Amerudi Night’ ambapo kikundi cha Masai Warriors waliwapagawisha watoto kwa kuonesha michezo mbalimbali ikiwemo sarakasi, kuchezea baiskeli na michezo mbalimbali.
0 comments