FILAMU ZETU : ANGALIA KIPANDE CHA MUVI YA "MAPENZI YA MUNGU" YA MSANII LULU

By Gadiola Emanuel - 5:57:00 AM


 Msanii wa Sanaa ya Maigizo Nchini, Elizabeth Michael almaarufu kama Lulu akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa Alipokuwa akiitambulisha filamu yake Mpya iitwayo MAPENZI YA MUNGU ambayo amewashirikisha Flora Mtegoha au Mama Kanumba na Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Linah Sanga.

  • Share:

You Might Also Like

0 comments