WASANII WALIVYOTUA BUKOBA TAYARI KWA UFUNGUZI WA FIESTA 2014 UWANJA WA KAITABA
By Gadiola Emanuel - 6:57:00 AM
Msanii
OMMY DIMPOZ na wenzake wakishuka kwenye Ndege aina ya Precision leo
asubuhi kwenye Uwanja wa Ndege Mjini Bukoba tayari kwa kukamua vilivyo
katika mwendelezo wa Msimu wa Dhahabu na Serengeti Fiesta, Tamasha
linalotarajiwa kufanyika Jana Ijumaa kwenye uwanja wa Kaitaba hapa
Bukoba.
Wasanii
hao pamoja na watangazaji na wafanyakazi wengine wameingiatayari Bukoba
wakitokea jijini Mwanza. Picha na Faustine Ruta wa bukobasports.com
Chistian Bella huyoo langoni mwa pipa.
Christian Bella akikaribishwa na Mwenyekiti wa kamati ya jukwaa la wasanii Hamza.
Dj Ziro langoni mwa ndege akiwa na mwanadada mtangazaji wa Clouds Tv Shadee mbele.
Karibu bhana.
Msanii wa Bongoflava Jux.
Ney wa Mitego.
Barnaba.
Barnaba mbele akifuatiwa na Madee na Fiesta Crew.
Katika Picha ya Pamoja
0 comments