WAKAZI WA JIJI LA TANGA NA VITONGOJI VYAKE WAKUBALI MAKAMUZI YA TAMASHA LA FIESTA 2014.
By Gadiola Emanuel - 9:12:00 AM
Vanessa Mdee a.k.a Vmoney akiimba jukwaani huku akiwa na staili yake ya kipekee kabisa Barnaba Boy akiimba juu ya jukwaa la Fiesta ndani ya uwanja wa Mkwakwani mkoni Tanga mwishoni mwa wiki Wadau nao walikuwepo kupata selfie ya Globu ya jamii ndani ya Fiesta. Linah akilinogesha jukwaa la Fiesta na wimbo wake wa Ole Temba. Kwa jijna la Kisanii anajiita Vmoney a.k.a Vanessa...