PICHA ZA UZINDUZI WA VIDEO YA WEUSI "GERE" ,JOH MAKINI ,NIKKI WA PILI NA G-NAKO

By Gadiola Emanuel - 5:33:00 AM


Kundi la Weusi linaloundwa na rappers kutoka Arusha, Joh Makini, Nick wa Pili, G-Nako na Bonta jana usiku (April 30) walizindua video ya wimbo wao unaofanya vizuri hivi sasa ‘Gere’ kwenye hotel ya Meditteraneo iliyopo jijini Dar es Salaam

Uzinduzi huo ulihudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo ndugu,jamaa na marafiki na wasanii wenzao na wadau wa muziki nchini









  • Share:

You Might Also Like

0 comments