­
­

CELEBS: AMBER ROSE WITH MASSIVE SUNGLASSES

By Gadiola Emanuel - 7:19:00 AM
Amber Rose went Futuristic and looked like something out of a space movie at the BillBoard Awards last night..She is known for setting trends and don't be surprised to see these glasses on our streets any time soon.. .. It's all about confidence tho..Would you rock it... ...

Continue Reading

  • Share:

CID boss REFUSE to record Dr Oburu’s Statement on Raila ASSASSINATION, told to record in Bondo.

By Gadiola Emanuel - 5:17:00 AM
Nominated MP Oburu Oginga has been directed by police to record Raila assassination claims in Bondo where he first made them. That’s like being told the police got better things to do or something to that effect. The CID declined to have the statements recorded and directed the MP to go do so in a police station in Bondo. Oburu had last week...

Continue Reading

  • Share:

KILI MUSIC TOUR 2014 ,ORODHA YA WASANII WATAKAO PERFORM IMETOLEWA

By Gadiola Emanuel - 7:33:00 AM
Hawa ni baadhi ya wasanii watakaokuwepo kwenye ziara hiyo wakiwe kwenye picha ya pamoja Ile orodha ya wasanii watakaoshiriki kwenye Kili Music Tour 2014 imetangazwa leo. Kwa mwaka huu zaidi ya wasanii 30 watashiriki katika ziara hiyo kwenye mikoa zaidi ya 10 nchini na itakayoanza ambao Mei hadi Septemba 2014. Wasanii hao ni pamoja na Diamond, Ommy Dimpoz, Linex, Proffesor Jay, Izzo Biznes,...

Continue Reading

  • Share:

Audio: Ommy Dimpoz afunguka juu ya madai ya wengi kua kavaa viatu vya kike

By Gadiola Emanuel - 6:42:00 AM
Picha ya cover la Vibe Magazine, lililotoka siku ya jana, imeonekana kutengeneza gumzo miongoni mwa raia kibao, hasa kutokana na suruali na viatu alivyokuwa amevaa msanii Ommy Dimpoz. watu wengi waliokutana na picha hiyo wameifananisha suruali hiyo na nguo maarufu kwa akina dada "kipedo" huku wakidai kuwa viatu alivyovaa ni vya kike. Omary Nyembo a.k.a Ommy Dimpoz amefunguka ya kwake juu ya madai...

Continue Reading

  • Share:

SKYLIGHT BAND WAKIFANYA VITU VYAO

By Gadiola Emanuel - 3:14:00 AM
Aneth kushaba(AK 47)akiiimba kwa hisia kali ndani ya kiwanja cha kijanja cha Thai Village akiwa na kikosi kamili cha Skylight Band. Wanamwita Sam Mapenzi mzee wa Sauti nyororoooo akipagawisha vilivyooo ndani ya Thai village Maua mazuriiiii ya Skylight band kutoka kushoto ni Aneth kushaba(AK 47) Digna mpera na Winfrida Richard wakiwa wanapata uphoto wenye ISO za kutoshaaa ndani ya Thai Village Mpiga Drums...

Continue Reading

  • Share:

ELIZABETH LULU MICHAEL DRESSED BY BEAUTY POINT AT KILI MUSIC AWARDS 2014.

By Gadiola Emanuel - 7:34:00 AM
Simply stuning ...

Continue Reading

  • Share:

PICHA ZA UZINDUZI WA VIDEO YA WEUSI "GERE" ,JOH MAKINI ,NIKKI WA PILI NA G-NAKO

By Gadiola Emanuel - 5:33:00 AM
  • Share: