WASANII WA HIP HOP FURSA HIYO :LEGENDARY MUSIC: HIP HOP & RAP STAR SEARCH

By Gadiola Emanuel - 5:02:00 AM



Je unachokipaji Kipaji cha Kurap/Kuchana, Kuimba R&B, Reggae, Soul, Zouk n.k lakini hauna uwezo wa kulipia Studio?

Sasa Kampuni ya Legendary Music - Tanzania inakuletea Mpango maalum wa kusaidia Wasanii wa miziki aina yote, lakini kwa kuanza leo tutaanzia na Hip hop. 

Sikiliza Beat hiyo https://soundcloud.com/legendary-music-tanzania/legendary-beats-1 andikia mistari halafu jirekodi ukichana juu ya hiyo beat kisha uitume katika facebook page yetuhttps://www.facebook.com/LegendaryMusicTanzania au email kwa legendarymusicinc.tz@gmail.com.

Katika Mchakato tutachagua Watu Watatu ambao tutawapa nafasi ya kurekodi bure katika studio zetu
Mfumo wa kuchagua mshindi itakuwa ni vigezo vya kiufundi wa mziki husika pamoja audio/Video clips zitakazopata likes nyingi katika page yetu.

Kwa Mawasiliano zaidi unaweza kuwasiliana kwa simu namba +255656157772.
Imetolewa na Legendary Music-Tanzania

  • Share:

You Might Also Like

0 comments