­
­

Photos: Mafikizolo in Nigeria for Davido music collaboration launch

By Gadiola Emanuel - 3:32:00 AM
South African top music stars Mafikizolo arrived Lagos late yesterday for the launch of their music collaboration with Davido, Tchelete, tonight. ...

Continue Reading

  • Share:

BURUDANI TOLA KWA SKYLIGHT BAND NDANI YA THAI VILLAGE

By Gadiola Emanuel - 3:54:00 PM
 Aneth Kushaba AK 47 akiongoza Waimbaji wenzake kutoa burudani kwa wapenzi wa Skylight Band Ijumaa iliyopita kwenye ukumbi wa Thai Village Masaki jijini Dar  Winfrida Richard akiwapa  mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita ndani ya Thai Village.  First lady wa Skylight Band Aneth kushaba akicheza kwa raha zakeee jukwaniii wiki iliyopita ndani ya Thai Village Masaki.  Musiki ni Hisia na ndicho anachokifanya hapa...

Continue Reading

  • Share:

TANZIA :MZEE MUHIDIN GURUMO AMEFARIKI DUNIA

By Gadiola Emanuel - 4:28:00 PM
Marehemu Muhidin Gurumo(kushoto) enzi za uhai wake akiwa na Diamond Platnumz Mwanamuziki Mkongwe nchini Tanzania, Muhidin Gurumo amefariki dunia jumapili ya tarehe 13/4/2014 majira ya saa nane mchana katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa amelazwa kwa matibabu. Kwa muda mrefu Mzee Gurumo amekuwa akisumbuliwa na maradhi mpaka siku ya leo alipotangulia mbele ya haki. Hili ni pengo kubwa katika muziki wa dansi...

Continue Reading

  • Share:

WASANII WA HIP HOP FURSA HIYO :LEGENDARY MUSIC: HIP HOP & RAP STAR SEARCH

By Gadiola Emanuel - 5:02:00 AM
Je unachokipaji Kipaji cha Kurap/Kuchana, Kuimba R&B, Reggae, Soul, Zouk n.k lakini hauna uwezo wa kulipia Studio? Sasa Kampuni ya Legendary Music - Tanzania inakuletea Mpango maalum wa kusaidia Wasanii wa miziki aina yote, lakini kwa kuanza leo tutaanzia na Hip hop.  Sikiliza Beat hiyo https://soundcloud.com/legendary-music-tanzania/legendary-beats-1 andikia mistari halafu jirekodi ukichana juu ya hiyo beat kisha uitume katika facebook page yetuhttps://www.facebook.com/LegendaryMusicTanzania au email kwa legendarymusicinc.tz@gmail.com. Katika Mchakato...

Continue Reading

  • Share: