SIMBA YAIBAMIZA JKT OLJORO KWA MAGOLI 4 -0

By Gadiola Emanuel - 1:08:00 AM

Mshambuliaji wa Simba, Haruna Chanongo (shoto), akiruka kwanja la beki wa JKT Oljoro, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliochezwa leo jioni kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo Simba ilishinda mabao 4-0.
 Kiungo wa Simba, Jonas Mkude akishangilia na Messi, baada ya kuifungia timu yake bao la kwanza.
 Wachezaji wa Oljoro JKT wakipanga mikakati ya kuwatoka wachezaji wa Simba.
 Ramadhan Singano 'Mess' akimtoka beki wa Oljoro JKT, Aziz Yusuf.
 Mashabiki wa Simba. Picha na Sufianimafoto.com 

  • Share:

You Might Also Like

0 comments