...
MOHOMBI AWASILI JIJINI DAR , TAYARI KUTUMBUIZA TAMASHA LA FIESTA KESHO LEADERS CLUB
By Gadiola Emanuel - 8:33:00 AM






Msanii wa kimataifa Mohombi Nzasi Moupondo baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere kwa ajili ya shoo kali ya Fiesta itakayofanyika kesho katika viwanja vya Leaders Club. Mbele yake ni Fauzia mratibu wa shughuli za Fiesta kutoka PrimeTime Promotions. Msanii wa kimataifa Mohombi Nzasi Moupondo (kulia) akifanya interview na wanahabari baada ya kutoka nje ya uwanja wa ndege kwa ajili ya...
Mcheza kikapu ‘Hasheem Thabit’ raia wa Tanzania ambaye anachezea timu ya Oklahoma City Thunder inayoshiriki ligi kuu ya mpira wa kikapu nchini Marekani maarufu kama NBA amejikuta akitumikia adhabu aliyopewa na timu yake hiyo ya kutocheza mechi moja na kukatwa mshahara wake baada ya kumpiga kichwa mchezaji mwenzake wa timu ya New Orleans ‘Greg Stiemsma’ katika mchezo uliozikutanisha timu hizo mbili mwishoni mwa...




This is confirmed gist. After several years and two children together, Peter Okoye and Lola Omotayo are getting ready to say I do. Their traditional wedding will hold on Sunday November 17th at the Arc Events Centre in Lekki. Gbenga Adeyinka and Helen Paul will MC the wedding. Their white wedding will hold sometime next year. Congrats to Lola and Peter! ...
Image Credit: Supplied Rihanna at the Shaikh Zayed Grand Mosque in Abu Dhabi. Dubai: Social media in the UAE had a strong reaction against pictures posted on Barbadian recording artist Rihanna’s Instagram account, badgalriri, showing her posing and pouting in front of the Shaikh Zayed Grand Mosque in Abu Dhabi, while donning a black hijab. Rihanna was in the capital as part of...
NEW BONGO FLEVA SONG: SIRI YA MCHEZO by: Fid Q feat Juma Nature
By Gadiola Emanuel - 5:04:00 AM
...
MANCHESTER UNITED HAS SIGNED ADNAN JANUZAJ FOR FIVE YEARS...!!!
By Gadiola Emanuel - 4:19:00 AM
Adnan Januzaj has signed a new five-year deal at Manchester United, keeping him at Old Trafford until at least June 2018. Adnan Januzaj has signed a new five-year deal at Manchester United, keeping him at Old Trafford until at least June 2018. ...
If you have a blog, write articles for content websites, or manage an online magazine, chances are you've had, or will have, your content stolen at least once. The stolen content then is reposted on other blogs, article websites, and personal websites without proper attribution. Sometimes articles are copied directly from your site to another person's site. In other cases, your article is...
New information from Twitter's S-1 document has shed light on the company's expected IPO date, reports PrivCo, a business and financial research company. Updates to the document, which was released last week to the public, mention that Twitter employees can begin to sell shares of the stock on the market beginning Feb. 15, 2014. The typical lock-up period for employees is 90 days,...
MAZISHI YA BABA MZAZI WA MSANII WA KIZAZI KIPYA 20 PERCENT WAFANYIKA KIJIJINI KIMANZICHANA
By Gadiola Emanuel - 6:06:00 AM















Abas Kinzasa kwa jina la usanii anaitwa 20 Percent akiwa kwenye majonzi baada ya kufiwa na Baba yake mzazi Mzee Kinzasa aliyefariki juzi siku ya Jumapili na kuzikwa siku ya Jumatatu kwenye kijiji cha Kimanzichana kilichopo Wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani. Hapa ndipo alikozikwa Mzee Kinzasa baba mzazi wa 20 Percent aliyefariki siku ya jumapili na kuzikwa siku ya jumatatu kwenye kijiji cha...
MSANII MAARUFU WA NIGERIA , J-MARTINS AFUNIKA KATIKA TAMASHA LA FIESTA MKOANI TANGA
By Gadiola Emanuel - 2:04:00 AM










pichani juu na chini ni Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria,J-Mrtin akitumbuiza jukwaani usiku wa ,kwenye tamasha la Serengeti fiesta 2013 ndani ya uwanja wa Mkwakwani mkoani Tanga. Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya,ambaye pia ni mtoto wa Mkongwe wa muziki wa dansi hapa nchini,Mzee Zorro,Maunda Zorro akiimba kwa hisia jukwaani usiku huu kwenye uwanja wa Mkwakwani mkoani Tanga wakati tamasha la Serengeti fiesta...
...