Washiriki wa shindano la The Mic King, waliofuzu kuingia 12 bora kutoka Kinondoni wakiwa kwenye pozi la pamoja.
Kundi la Wakali Dancers likiwajibika stejini.
Majaji wa mchakato huo, Abdallah Mrisho ‘Abby Cool’ (kushoto) na John Dilinga (Dj JD) wakiwa kazini.
Isha Mashauzi akiwarusha roho mashabiki waliohudhuria shoo hiyo ndani ya Dar Live.
Mpiga kinanda maarufu Bongo, Thabit Abdul akitumbuiza jukwaani.Habari/Picha: Musa Mateja/GPL
--
USIKU wa kuamkia leo kulifanyika mchujo mkali wa kuwasaka wakali 12
kutoka Kinondoni wa shindano la The Mic King, ndani ya Ukumbi wa
burudani wa Dar Live Mbagala jijini Dar es Salaam. Baada ya kumenyana
vikali kwenye steji hiyo huku wakifuatiliwa kwa makini na majaji
wanaoujua muziki vilivyo John Dilinga (Dj JD), na Abdallah Mrisho ‘Abby
Cool’, ambao walifanya upembuzi makini na kuwapata wakali hao ambao ni
Martin Gasper, Jafaar Kassim, Lusajo Kapngala, Peter Lugaman, Emmanuel
Clemence, Ally Zuberi, Abdi Salim, Omary Xavery, Modestus Luiza,
Athuman Ayoub, Dickson Siwalaza na Hudu Juma.
Shindano hilo pia lilisindikizwa na burudani za muziki kutoka kundi la Wakali Dancers na bendi ya Taarab ya Mashauzi Classic.
Mtangazaji wa
Kipindi cha Jahazi ndani ya Radio Clouds FM,Arnold Kayanda akiwa pamoja
na Mai Waifu wake Aneth wakati wakiingia kwenye hafla ya Ndoa yao
iliyofanyika usiku wa Kuamkia leo kwenye Viwanja vya Karemjee,jijini Dar
es Salaam.
Bw. Arnold
Kayanda na Bi. Aneth Kayanga wakilishana keki.
Wakikabidhi keki
kwa Wazazi.
Wapambe wakiwa
wamevalia mavazi nadhifu kabisaaa.
wakiingia
ukumbini.
Mdau akiwapokea
Maharusi kwa Dansi zitoo......
Maharusi
wakiingia.
Maharusi na
Wapambe waoo..
Kekizzzz.
MC Kibonde
akiliongoza Jahazi la sherehe hiyoo.
Maharusi
wakikata kekii.
Genevieve was offered one of two deals by Coscharis Motors; (1) Take $100, 000 and drive a brand new Evoque for only six months after which she will return it or (2) Take $50, 000 and a brand new Evogue valued at over N10million which she can keep.
I heard the actress took the former, (she already has very expensive cars) so will eventually return the SUV.
The doctor and the niece were said to have been promised payment of almost $2million if they succeed in killing the president. It later emerged that Benin multimillionaire businessman, Patrice Talon, was the one who hired their services. Fortunately they didn't succeed. The plot to poison the president failed after his niece told her sister about their plan. The sister then told the president.
They were alleged to have buried their victim in a shallow grave in a forest at Ugbor village, Oredo Local Government Area of Edo State, after killing her.
Meneja Mahusiano ya Nje wa kampuni ya Simu za mkononi VODACOM, Salum
Mwalimu akionesha jezi walizokabidhi kwa klabu ya Yanga zikiwa na doa
jeusi.
Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga, Laurence Mwalusako (kati) akipokea jezi walizokabidhiwa na Vodacom zikiwa na doa jeusi kutoka kwa Meneja
Mahusiano ya Nje wa kampuni ya Sima za mkononi VODACOM, Salum Mwalimu
(kushoto). Kulia ni Ofisa Udhamini wa kampuni hiyo, Ibrahim Kaude
(Picha na Habari Mseto Blog) |
Jua Kali with Raila Odinga...it so nice |