Mbio za Mashua zilipofikia kilele jijini Dar es Salaam

By Gadiola Emanuel - 8:06:00 AM


Mwenyekiti wa mbio za mashua Nicholus Zervos (katikati) akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuhitimisha mbio hizo zilizoshirikisha mataifa 17 kulia ni Meneja wa Vodacom Mkoa wa Dar es salaam na Ukanda wa Pwani Bw. Henry Tzamburakis ambao pia wadhamini wakuu wa mbio hizo.
Meneja wa Vodacom Mkoa wa Dar es salaam na Ukanda wa Pwani Bw. Henry Tzamburakis (kushoto) akikabidhi vyeti kwa washindi wa mbio za mashua zilizohitimishwa hivi karibuni katika ufukwe wa Yatch Club jijini Dar es salaam.
Baadhi ya washiriki wa mbio za mashua wakifurahia vyeti vya ushindi wa daraja la pili katika mashindano hayo yaliyokuwa yakidhaminiwa na Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania yaliyomalizika hivi karibuni Yatch Club jijini Dar es Salaam.
Kikundi cha sanaa kikitumbuiza kwa burudani mbalimbali wakati wa hitimisho la mbio za mashua zilizomalizikia Yatch Club jijini Dar es salaam hivi karibuni na kudhaminiwa na Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania.
 
Na Full Shangwe blog 

  • Share:

You Might Also Like

0 comments