­
­

MAPENZI SALAMA...

By Gadiola Emanuel - 8:03:00 AM
Kama unahisi uko tayari kufanya mapenzi, au tayari unashiriki katika ngono, ni vyema kuchukua tahadhari. Hakikisha katika harakati zako za kufanya mapenzi, unajali afya yako kwa kufanya ngono iliyo salama. Inaweza kuwa vigumu, na jambo unalolionea haya kujadiliana na mapenzi wako, swala la uwezekano wa kuambukizwa magonjwa ya zinaa, na kutumia njia za kuzuia mimba. Lakini kulikwepa swala hilo kwaweza kumaanisha kuhatarisha afya...

Continue Reading

  • Share:

WAFANYAKAZI WA BBC WAMEANZA MGOMO

By Gadiola Emanuel - 7:53:00 AM
Waandishi habari wengi wanaohudumu katika Shirika la Utangazaji la Uingereza, BBC wameanza mgomo wa siku moja kulalamikia mpango wa kuwaachisha kazi baadhi yao. Hii inafuatia hatua ya serikali ya Uingereza kupunguza matumizi yake katika sekta ya umma.Wasimamizi wa BBC wamesema hatua ya kuwapunguza wafanyakazi haingeweza kuepukika. Miongoni mwa idara zilizolengwa ni Idhaa ya dunia pamoja na ile inayofuatilia matangazo kote duniani. Muungano wa...

Continue Reading

  • Share:

BBC Journalists in One Day Strike na watagoma tena...

By Gadiola Emanuel - 7:51:00 AM
Journalists at the BBC are taking part in a 24-hour strike in a row over compulsory redundancies. Members of the National Union of Journalists (NUJ) voted in favour of industrial action last month because a number of World Service journalists are facing compulsory redundancy. The NUJ has warned that the strike will cause "widespread disruption" to radio and TV programmes. A BBC spokesman...

Continue Reading

  • Share:

SANAA ZA MAONYESHO...ST JUDE USA RIVER ARUSHA

By Gadiola Emanuel - 8:27:00 PM
Mwenye koti tofauti na wengine hapo kushoto ni Director wa SBC MEDIA na muandaaji ya hilo tamasha la sanaa za maonyesho. ...

Continue Reading

  • Share:

MAJAMBAZI WA TANO WAKAMATWA

By Gadiola Emanuel - 2:16:00 AM
JESHI la Polisi Mkoani Arusha, linawashikilia majambazi sugu watano, wakihusishwa na matukio mbalimbali ya uporaji ikiwemo kuhusika katika tukio la uporaji wa pikipiki katika maeneo tofauti Mkoani Arushq. Majambazi waliokamatwa wametajwa kuwa ni Peter Kavishe (32) mkazi wa Sanya Juu, Elimokozy Kavishe (29), Paulo Mallya (23) na Apolinari Mallya (21) wote wakazi wa Sanya juu na mwenzao Phillipo Semkondo (20) mkazi wa Unga...

Continue Reading

  • Share:

SABA SABA NJEMA WAPENDWA.....

By Gadiola Emanuel - 2:04:00 AM
MIMI NA MUME WANGU KIPENZI GADIEL URIOH TUNAWATAKIA SIKUKUU NJEMA YA SABA SABA YENYE FURAHA NA AMANI. KULEWA KUPITA KIASI NI HATARI KWA AFYA YAKO!! ...

Continue Reading

  • Share: