...
...
...
...
...
...
...
Kwa mara ya kwanza katika historia ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Spika wake ni mwanamke. Mwanamke huyo sio mwingine bali ni Mheshimiwa Anna Semamba Makinda. Mheshimiwa Anna Makinda,ametwaa wadhifa huo baada ya kumshinda mpinzani wake, Mabere Marando kutoka CHADEMA.Mheshimiwa Makinda alipata kura 265 dhidi ya kura 55 za Mabere Marando.Jumla ya kura zilizopigwa ni 307 ambapo 9 ziliharibika.Uchaguzi huo umefanyika...
JAMANI BADO NAWAPENDA SANA ILA NIPO BUSY KIDOGO NA SWALA LA KUOA. C MNAJUA KUOA TENA INAITAJI KUTULIA? LOVE U MWAAA JAMANI BADO NAWAPENDA SANA ILA NIPO BUSY KIDOGO NA SWALA LA KUOA. C MNAJUA KUOA TENA INAITAJI KUTULIA? LOVE U MWAAA ...