­
­

JAJI MKUU WA TANZANIA 2011

By Gadiola Emanuel - 7:46:00 AM
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Jaji Mohamed Chande Othman (pichani juu) kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania, kuanzia tarehe 28 DIsemba, 2010. Jaji Othman anachukua nafasi ya Jaji Augustino Ramadhani anayestaafu kwa mujibu wa sheria tarehe 27 Disemba, 2010. Kwa sasa Jaji Othman ni Jaji wa Mahakama ya Rufaa na pia ni mtaalamu binafsi juu ya hali ya Haki za Binadamu huko Kusini mwa...

Continue Reading

  • Share:

NAWAPENDA

By Gadiola Emanuel - 7:44:00 AM
2011 hiyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo 2011 hiyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo ...

Continue Reading

  • Share:

MWAKA MPYA MWEMA

By Gadiola Emanuel - 7:41:00 AM
JAMANI TUMIENI MUDA KWA UANGALIFU. TIME WILL TELL ANY BODY PROSPERITY. JAMANI TUMIENI MUDA KWA UANGALIFU. TIME WILL TELL ANY BODY PROSPERITY. ...

Continue Reading

  • Share:

WELCOME NEW YEAR 2011!!!!!!!!!!!!!!!!!!

By Gadiola Emanuel - 4:13:00 AM
NAWAPENDA WOTE SANA WADAU WOTE !!!!MWAKA MPYA MWEMA WENYE MAFANIKIO KWA WOOOOOTE. MSISAHAU KUSALI NA KUMUOMBA MUNGU WETU!!! NAWAPENDA SANA!! ...

Continue Reading

  • Share:

baba na nii!!!!na bro wake

By Gadiola Emanuel - 7:29:00 AM
  • Share:

baba na nii!!!!na shemeji

By Gadiola Emanuel - 7:22:00 AM
  • Share:

Baba na niii na vazi la home

By Gadiola Emanuel - 5:38:00 AM
  • Share:

TEMBO AU ELEPHANT WA SIRINGET

By Gadiola Emanuel - 5:07:00 AM
  • Share:

HIPPPOZZZZZZZZ NDANI YA SERENGETI

By Gadiola Emanuel - 5:04:00 AM
  • Share:

HONGERA ANNE MAKINDA

By Gadiola Emanuel - 6:01:00 AM
Kwa mara ya kwanza katika historia ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Spika wake ni mwanamke. Mwanamke huyo sio mwingine bali ni Mheshimiwa Anna Semamba Makinda. Mheshimiwa Anna Makinda,ametwaa wadhifa huo baada ya kumshinda mpinzani wake, Mabere Marando kutoka CHADEMA.Mheshimiwa Makinda alipata kura 265 dhidi ya kura 55 za Mabere Marando.Jumla ya kura zilizopigwa ni 307 ambapo 9 ziliharibika.Uchaguzi huo umefanyika...

Continue Reading

  • Share:

HI

By Gadiola Emanuel - 5:53:00 AM
JAMANI BADO NAWAPENDA SANA ILA NIPO BUSY KIDOGO NA SWALA LA KUOA. C MNAJUA KUOA TENA INAITAJI KUTULIA? LOVE U MWAAA JAMANI BADO NAWAPENDA SANA ILA NIPO BUSY KIDOGO NA SWALA LA KUOA. C MNAJUA KUOA TENA INAITAJI KUTULIA? LOVE U MWAAA ...

Continue Reading

  • Share:

MAKUBALIANO

By Gadiola Emanuel - 11:33:00 PM
  • Share: