Hapa tunakuletea maelezo ya kumpigia mchezaji bora wa soka barani Afrika anayetambuliwa na BBC.Baada ya subira ya muda mrefu wakati umewadia kwa kura yako kuamua mchezaji atakayebeba tuzo hiyo kwa mwaka 2008. Ingia hapa kupiga kura kwa kutumia tovuti [internet] Upigaji kura kumpata mchezaji bora wa soka barani Afrika anayetambuliwa na BBC umeaanza Disemba 1 kuanzia saa mbili za Afrika Mashariki au saa...
Lil' Wayne heads Grammy nominees Lil' Wayne's Tha Carter III sold 1m copies in its first week in the US US rapper Lil' Wayne has been nominated for eight Grammy awards, including album of the year for Tha Carter III. British rock band Coldplay followed close behind with seven nominations, while rappers Kanye West and Jay-Z, and R&B singer Ne-Yo each received six....