­
­

BANDA LA PSPF LAVUTIA WENGI

By Gadiola Emanuel - 2:53:00 PM
 Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, (kushoto), akizungumza jambo wakati Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Profesa Godius Kahyarara (wapili kushoto), alipotembelea banda la PSPF kwenye jingo la Wizara ya Fedha na Mipango viwanja vya Mwalimu Nyerere kwenye maonyesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam, Julai 1, 2016. (Wapili kulia) ni Meneja Masoko, Mawasiliano na Uenezi, Costantina...

Continue Reading

  • Share: