NAVY KENZO WATUA BUKOBA TAYARI KWA SHOW YAO USIKU HUU LINA'S NIGHT CLUB
By Gadiola Emanuel - 2:42:00 PM
Wasanii wanaounda kundi la Navy Kenzo, Nahreel na Aika leo wametua Bukoba ikiwa ni mwendelezo wao wa "Kamatia Chini lights up Tour" ambapo usiku huu watashusha show yao ya Nguvu kwenye Ukumbi wa Burudani wa Lina's Night uliopo Bukoba Mjini. Wasanii hao wanaletwa hapa Mjini Bukoba kupitia kampuni ya Sleek Events ya Jijini Mwanza. Msanii Aika akishuka kwenye ndege leo hii kwenye Uwanja...