Wimbo wa Adele umekuwa wimbo mkubwa sana, wimbo ambao huenda ukawa mmoja kati ya ngoma ambazo zimerudiwa kwa kuimbwa cover yake na watu wengi zaidi duniani… lakini unajua kwamba rekodi zinaonesha wimbo huo una kama siku 88 tu hewani, hesabu ambayo kwa tafsiri nyingine ni miezi mitatu !! Ninayo stori ambayo wameiandika pia kwenye page ya CNN mtandaoni kwamba wimbo wa ‘Hello‘ uliomrudisha...
Usiku wa kuamkia leo, staa wa muziki wa Bongo Fleva, Pamela Daffa 'Pam D' kwa kushirikiana na mtayarishaji na mwanamuziki hatari Bongo, Mesen Selekta walikinukisha vya kutosha ndani ya Ukumbi wa Maisha Basement uliopo Kijitonyama jijini Dar. Usiku huo uliotawaliwa na redcarpet ya hatari ambapo mashabiki kibao walipata nafasi ya kupiga picha na Pam sambamba na kuzungumza naye mawili-matatu, ulianza kwa kwa Mesen...
Kundi la Muziki la Navy Kenzo Lashika Namba Nne Katika Video 50 Zilizobamba Zaidi MTV Base Mwaka 2015, Wampita Diamond Platnumz
By Gadiola Emanuel - 3:57:00 PM
Kundi la Mziki la Navy Kenzo Linaloundwa na Aika na Nahreel wametutoa kimasomaso Watanzania Baada ya Video yao ya Wimbo wa Game Walioshirikiana na Vanessa Mdee Kushika Namba Nne katika Chat ya Video 50 Bora za MTV Base Africa Zilizofanya Vizuri mwaka 2015.. Diamond Platnumz na Wimbo wake wa Nana umeshika namba 5 Katika Chat hizo, Wimbo huo wa Nana Pia Umetengenezwa na...