­
­

Bran New Video : Joh Makini ft AKA

By Gadiola Emanuel - 2:05:00 AM
  • Share:

Jose Chameleone Awapa Surprise ya Nguvu Mashabiki wa Skylight Band, Jijini Dar

By Gadiola Emanuel - 3:32:00 AM
Muimbaji kutoka nchiniUganda Jose Chameleone akiimba kwenye stage ya bendi ya Skylight mara baada ya kupanda kwenye stage hiyo na kuwaacha mashabiki awa bendi hiyo wakitoa shangwe ya nguvu. Njoo leo Skylight imekuandalia suprise za kutosha kutoka katika bendi hii. Muimbaji wa nchini Uganda Jose Chameleone (katikati) akiimba kwa hisia moja ya nyimbo yake uku akisindikizwa na waimbaji wa bendi ya Skylight kushoto...

Continue Reading

  • Share: