SKYLIGHT BAND YAREJESHA RATIBA YAKE YA BURUDANI KILA IJUMAA, SASA NI KIOTA KIPYA CHA “LUKAS PUB” MASAKI LEO
By Gadiola Emanuel - 8:17:00 AM
Waimbaji wa Skylight Band wakiendelea kutoa burudani kwa wapenzi na mashabiki wa bendi hiyo (hawapo pichani). Ashura Kitenge mwenye sauti ya kumtoa nyoka panoni akiimba kwa hisia kali huku akisindikizwa na Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK 47 Jumamosi iliyopita ndani ya Mzalendo Pub. Waimbaji wa bendi ya Skylight wakiendelea kutoa burudani ndani ya kijiwe cha Mzalendo jumamosi iliyopita wa kwanza kushoto...