­
­

MATUKIO MBALI MBALI KATIKA UZINDUZI WA FILAMU MPYA YA LULU "FOOLISH AGE" KATIKA UKUMBI WA MLIMANI CITY

By Gadiola Emanuel - 6:50:00 AM
  • Share:

SNOOPY DOGGY DOGGY WITH HIS TWO BOYS

By Gadiola Emanuel - 3:38:00 AM
proud of My 2 Boyz top of their game!! Royal Fam Comn Soon! #undergroundheat http://youtu.be/EJGlGVe2Zf ...

Continue Reading

  • Share:

DIAMOND AFANYA JAMBO LA KUIGWA,AMPA MUHIDIN GURUMO GARI

By Gadiola Emanuel - 7:54:00 AM
Mwanamuziki Diamond Platnum akimkabidhi funguo ya gari aina ya Toyota Funcargo mwanamuziki mkongwe nchini mzee Muhidin Gurumo kama zawadi yake kwa mkongwe huyo wa muziki baada ya kustaafu rasmi kuimba muziki, Diamond alitoa zawadi hiyo kwa Gurumo katika hafla yake ya uzinduzi wa video yake mpya ya wimbo Nomber One aliyoirekodi huko Afrika Kusini ikigharimu kiasi cha dola elfu 30.000 zaidi ya milioni...

Continue Reading

  • Share:

NEW VIDEO: GENTRIEZ Ft. Niga - Kila Sababu

By Gadiola Emanuel - 9:50:00 AM
  • Share:

FIESTA 2013 NDANI YA MJI WA SINGIDA ,ULIVOFUNIKA....NOMAAA SAAANA

By Gadiola Emanuel - 5:41:00 AM
Msanii Muigizaji wa filamu na muziki wa bongofleva,Shilole pichani shoto akiimba mbele ya maelfu ya wakazi wa Singida waliojitokeza kwa wingi kwenye tamasha la serengeti fiesta 2013,ndani ya Singida Motel.  Sehemu ya umati wa watu wakishangilia burudani iliyokuwa ikiendelea kwenye kiota hicho cha Singida Motel.  Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya,Sir Juma Nature akiwa na wasanii wenzake wa kundi la TMK -Wanaume Halisi,wakilishambulia...

Continue Reading

  • Share: