| Mbalamwezi Beach mida ya usiku hivi..watu wanaburudika pamoja na WANA BONGO STAR SEARCH. |
| Sun Set...its so NICE |
| Mhhhhhhhhh Ninawashangaa watu wanavyo ogelea..ukizingatia mtoto wa Arusha sijawahi kuogelea hata siku moja kwasababu naogopa kuonana na SAMAKI...Bora simba ale mm si Samaki Jamani..... |
| Huyu nae ni wa Arusha ila amekaa sana Dar es salaam,kwa hiyo anajua kuogelea...anaitwa Eric John |
| Hawa ndo nilikua nawashangaa...... |
| Bora niandike Jina Langu kuliko kuogelea... |