Picha za Diamond Platnumz Kwenye Birthday Yake.

By Gadiola Emanuel - 6:03:00 AM


Picha za Diamond Platnumz Kwenye Birthday Yake.
Diamond Platnumz mwanamuziki maarufu wa Tanzania jana alisherehekea siku yake ya kuzaliwa(birthday) iliyohudhuriwa na watu kibao wakiwemo mastaa wenzake. Diamond alizawadiwa gari aina ya BMW na management yake inayoongozwa na Babu Tale na Said Fella. Sherehe kwa ujumla iligharimu shilingi mil.28 za kitanzania kwa mujibu wa Babu Tale akizungumza na Clouds fm huku akisema kuwa Coca Cola walishirikiana nao kwa ukaribu kwasababu Diamond ni balozi wao

  • Share:

You Might Also Like

0 comments